Blogging for jobs

Monday 11 May 2015

NAFASI YA KAZI YA KUVUNA MIWA - KIDATU, MOROGORO

Nafasi Ya Kazi Ya Kuvuna Muwa - Nafasi 561
Uongozi wa Kampuni ya Sukari Kilombero unatangaza nafasi ya kuvuna
muwa katika msirnu wa uzalishaji wa 2015/2016.

1.SIFA ZA MVUNAJI.
Awe na afya njema na mwenye nguvu.
Awe na tabia njema.
Awe tayari kufanya kazi na kutimiza malengo yaliyowekwa na Uongozi
wa Kampuni toka mwanzo hadi mwisho wa msimu machi, 2016.
Waliokata msimu uliopita na kupata hati safi za utendaji kazi
watafikiriwa kwanza.

Ajira ya wasimamizi, makarani, .na wengineo itafanyika tarehe 18/05/2015.
Ajira ya wavunaji itaanza tarehe 19/05/2015.
Watakaoallriwa watapata nafasi za kulala kwenye makazi ya wavunaji.
Watakaoajiriwa tu ndio watakaorudishiwa nauli za usafiri kwa kuzingatia yiwango vya SUMATRA.
Tafadhali atakayesoma au kusikia tangazo· hili awafahamishe wenzake.

BEDA MARWA CHACHA
Kny. MKURUGENZI MTENDAJI
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Kilombero Sugar Company Limited
Msolwa Mill Office, Kldatu, Tanzania
P.O. Box 50, Kidatu,
Tanzania
Tel: (+255) 23 262 6011 Fax: (+255) 23 262 6188/262 69084

Sewage Network Engineer

0 comments:

Post a Comment

ADS

Powered by Blogger.

Blog Archive

Popular Jobs