Blogging for jobs

Sunday 22 March 2015

CALL FOR INTERVIEW - TANGAZO KUITWA USAILI 20 MARCH 2015

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya The Marine Park and Reserve Authority, Water Development and Management Institute (WDMI), Institute of Judicial Administration (IJA), Institute of Finance Management (IFM), Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), University of Dar es Salaam (UDSM), Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA), Tanzania Public Service College (TPSC), College of Business Education (CBE), College of African Wildlife Management (MWEKA), Tanzania Automotive Technology (NYUMBU), Tanzania Engineering and Manufacturing Design Organization (TEMDO), Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA), Tanzania Investment Centre (TIC), Procurement and Supplies Professional and Technician Board (PSPTB), Tanzania Tobacco Board (TTB), Arusha Technical College (ATC), Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), Tanzania Trade Development Authority (TanTrade), Tanzania Meteologist Authority (TMA), Wakala wa Vipimo (WMA), Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Katibu Wizara ya Maliasili na Utalii, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anatarajia kuendesha usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili. Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:

 1. Usaili utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.

2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k

3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.

 4. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.

7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyia usaili.

8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)

9. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)

10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

DOWNLOAD 

0 comments:

Post a Comment

ADS

Powered by Blogger.

Blog Archive

Popular Jobs