Blogging for jobs

Wednesday 3 June 2015

TANGAZO LA USAILI - HALMASHAURI YA NAMTUMBO - 03/06/2015

   
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo anawatangazia wafuatao kufika kwenye usaili wa ana kwa ana tarehe 18/6/2015 na 19/06/2015 utakaofanyika saa 3:00 asubuhi katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya namtumbo . wahusika wafike na vyeti halisi .

MAJINA NA MAELEZO MENGINE YAKO KWENYE GAZETI LA MTANZANIA JUMATANO JUNI 3 , 2015 .

0 comments:

Post a Comment

ADS

Powered by Blogger.

Blog Archive

Popular Jobs